#NBCPL Pamba Jiji FC wamepoteza mchezo wa pili mfululizo wakiwa nyumba, leo wakifanyiwa βcome-backβ na maafande wa JKT Tanzania.
Tazama magoli yote, wakitangulia Pamba Jiji kupitia kwa Henry Lutonja, kabla ya Karim Mfaume na Paul Peter kupiga mawili.
FT: Pamba Jiji 1-2 JKT Tanzania (Lutonji 10β, Mfaume 14β, Paul Peter)
Mechi hii ilikuwa LIVE #AzamTWO