FOOTBALL
Jordan 28/06 02:00 Argentina Algeria 28/06 02:00 Austria Colombia 27/06 23:30 Portugal Congo DR 27/06 23:30 Uzbekistan Panama 27/06 21:00 England Croatia 27/06 21:00 Ghana New Zealand 27/06 03:00 Belgium Egypt 27/06 03:00 Iran Jordan 28/06 02:00 Argentina Algeria 28/06 02:00 Austria Colombia 27/06 23:30 Portugal Congo DR 27/06 23:30 Uzbekistan Panama 27/06 21:00 England Croatia 27/06 21:00 Ghana New Zealand 27/06 03:00 Belgium Egypt 27/06 03:00 Iran

πŸ“Ή Tanzania Prisons 2-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 27/06/2026

Summary:

#NBCPL Maafande wa Magereza β€˜wamemuua’ k…

#NBCPL Maafande wa Magereza β€˜wamemuua’ kikatili mkulima wa miwa kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya.

Goli la dakika za jioooooni kutoka kwa Kelvin Sengati ndilo lililomzika mkulima.

Wa kwanza kufunga alikuwa ni Seleman Omar, kabla ya Mtibwa kuchomoa kupitia kwa mkongwe Juma Luizio.

Hivi ndivyo ilivyokuwa..

Je, huyo ball boy aliyekwenda kushangilia kuku kishingo, umemuona?

FT: TZ Prisons 2-1 Mtibwa Sugar.

Mechi hii ilikuwa LIVE #AzamSports4HD

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiFC #JKTTanzania #PambaJijiJKTTanzania

Share: