Oura ametoa assit kwa Mpanzu, na Mpanzu ametoa assist kwa Oura, Mnyama Simba SC akashinda mabao 2-0 dhidi ya Singida BS, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.
Magoli ya Simba yamefungwa na Elie Mpanzu na Anicet Oura,