Feisal Salum ‘Feitoto’ amepiga goli lake la 15 kwenye ligi msimu huu, Azam FC ikishinda 2-0 ugenini kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga….
Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Landry Zouzou kwa header kabl aya Feisal kufunga la pili dakika ya 32.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC,