#NBCPL Mtibwa Sugar wameshuka rasmi daraja kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Namungo FC.
Waliotangulia kufunga walikuwa ni wao kupitia kwa Evans Fabian, lakini Namungo waliamka na kupiga mbili kupitia kwa Godfrey Luzendaze na Jacob Masawe.
Tazama magoli yote matatu
FT: Namungo FC 2-1 Mtibwa Sugar.
Mechi imepigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi.
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #NamungoFC #MtibwaSugar #NamungoMtibwaSugar