Simba SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2025/26 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC, katika mchezo uliopigwa KMC Complex.
Goli pekee la Simba limefungwa na Inno Loemba kwa mkwaju wa penati.
Simba SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuu …