LIGI YA VIJANA U20: Timu ya vijana ya Simba U20 imepata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya vijana wa Dodoma Jiji, katika muendelezo wa nane bora ligi ya vijana U20 inayorindima Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Simba yammefungwa na Adolf Hamis, Chrispin Posta, huku Dodoma wakipata goli lao kupitia kwa Kibwana Kondo .