#NBCU20PL Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo kati ya Mtibwa Sugar U20 dhidi ya Mashujaa FC U20.
Magoli ya Mashujaa yamefungwa na Nassor Iddy pamoja na Abdulrazaq Mbwana. Goli la Mtibwa Sugar limefungwa na Ramadhan Issa.
FT: Mtibwa Sugar U20 1-2 Mashujaa U20
#LigiKuuVijanaU20 #NBCYouthLeague #NBCU20PLTop8 #YangaU20VsMbeyaCityU20 #MtibwaSugarU20VsMashujaaU20