#NBCPL Maafande wa Magereza βwamemuuaβ kikatili mkulima wa miwa kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya.
Goli la dakika za jioooooni kutoka kwa Kelvin Sengati ndilo lililomzika mkulima.
Wa kwanza kufunga alikuwa ni Seleman Omar, kabla ya Mtibwa kuchomoa kupitia kwa mkongwe Juma Luizio.
Hivi ndivyo ilivyokuwa..
Je, huyo ball boy aliyekwenda kushangilia kuku kishingo, umemuona?
FT: TZ Prisons 2-1 Mtibwa Sugar.
Mechi hii ilikuwa LIVE #AzamSports4HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiFC #JKTTanzania #PambaJijiJKTTanzania