LIGI YA VIJANA U20 | Azam FC U20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ay JKT Tanzania katika muendelezo wa fainali za ligi ya vijana Nane Bora, inayorindika Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Azam yamefungwa na Athuman Shilla 30′ na Abdallah Mkude 88′
LIGI YA VIJANA U20 | Azam FC U20 imepata…