Magoli mawili kutoka kwa Enock Molia na Feisal Salum, yametosha kuwapa pointi tatu Azam FC, wakishinda 2-0 ugenini dhidi ya Coastal Union.
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga, na hii ni Ligi Kuu ya NBC.
Magoli mawili kutoka kwa Enock Molia na …