LIGI YA VIJANA u20: Azam FC U20 imetwaa ubingwa wa Ligi ya Vijana U20, kwa kuichapa Yanga SC U20 mabao 2-1, katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Azam FC yametoka kwa Juma Mbwana na Adnan Rashid, huku moja la Azam FC U20 likifungwa na Saleh Mahsen